Sidhani kama hapa Tzee unaweza kukutana na msanii aliyewahi kula collabo,nyingi sana za ki-internationa kama ilivyo kwa Ay,kuna baadhi tu ya wasanii kama Diamond Platnumz,nadhani akijitahidi anaweza kuvunja record ya msanii huyu,kutokana na idadi ya collabo anazoendelea kupokea na kuzifanya kwa umakini wa hali ya juu.Je unajua ni kwa nini AY huwa ndio anaitwa kufanya collabo na wasanii hawa wakubwa wa mataifa mbali mbali?,angalia jinsi alivyozitendea haki hizi nyimbo,nakuzifanya ziweze kuzidi ku-make headlines.
Home
» INTERTAINMENT
» MUSIC
» VIDEOS
» video kali alizowahi kushirikishwa ay na wanamuziki wakimataifa.
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
