Unakumbuka super hit song ya Nelly & Kelly Rowland Dilemma?? Kama ni mfuatiliaji mzuri wa muziki tokea miaka ya 2000 utakuwa unaikumbuka, nyimbo ilitamba sana na hatimaye kuwafanya mabishoo kibao wa hapa kwetu kutembea na plaster shavuni mradi tu kuiga swaga za Nelly! Video yao ilipata umaarufu mkubwa sana kutokana na chemistry iliyopo kati ya wawili hao, lakini kuna kitu kimoja yawezekana hukugundua kwenye video yao hiyo, Vibe Tz magazine inakujaza kama ifuatavyo.
Video inaanza huku Kelly akiwa ametokelezea vilivyo kwenye nywele zake nyekundu na blouse inayokata mabega…..
Then, ikafuatia mtiririko wa mapozi ya kimapenzi kati ya Kelly na Nelly akiwa ametimba head band, na kofia plus sun glass huku akiwa na plasta shavuni.
……Baadaye ikafuatiwa na very good dnca ambayo ilikuwa na convincing chemistry kati yao
…..Lakini, uligundua nini kilikuwa kwenye simu (Nokia Flip) ya Kelly wakati ana mpiga Nelly?

Yeah, Kelly alikuwa anamtumia msg Nelly kwenye MICROSOFT SPREADSHEET
Ndio, kwenye excel spreadsheet….Kama hivi
No wonder Kelly ali mind baada ya kutopokea majibu yoyote toka kwa Nelly
Usi mind sana Kelly, YOU SENT HIM A DAMN EXCEL SHEET!! Kuwa smart next time….
Usi mind sana Kelly, YOU SENT HIM A DAMN EXCEL SHEET!! Kuwa smart next time….
