Lile tendo la kikundi cha kigaidi cha kuwatorosha na kuwaficha wasichana wa shule huko nchini Nigeria, jambo lilofanya kila mtu duniani atume picha kwenye mtandao wakiwa wameshikilia mabango yalioandikwa bring back our girls, basi tukio hili limefananishwa na kupotea kwa wanamuziki wakongwe katika game.
Alikiba ni mmoja wa wakongwe katika game la muziki hapa tzee aliyetokea kupotea kwa muda katika game, bila kutoa hit single yeyote na mara ya mwisho aliweza kushirikishwa tu kwenye nyimbo ya tundaman iliyo fanya kuwa kama wimbo wa taifa kwa jinsi ilivyokuwa inapendwa, jambo hili limefanya mashabiki waanze kulilia ujio wa Alikiba na Tunda man kwenye game, na kufanya waanze kampeni mpya inayofanana na ile ya boko haram, ila hii inaitwa bring #backourartists.
hii ni moja ya barua fupi iliyoandikwa na shabiki,akitaka wasanii hawa warudishwe kwenye game,
“Daah ebu leo nitoe dukuduku langu. @alikiba4real @tundamanofficial. Kwanza nawapenda sana kwa kuwa wana heshima, wapole na ni watekelezaji wa kazi zao hawana bad reputation (sifa mbaya). @alikiba4real what happened to you man? same question goes to you @tundamanofficial? Unajua kisa cha kuandika huu Ujumbe leo? Am surprised mmoja wa promoters ni m ghana kaniuliza swali kuhusu wewe @alikiba4real na sikuwahi kudhani kama wanakutambua West Africa labda mie niko nyuma. Haya watu wanataka Boko Haram wa bring back the girls na mimi naanza campaign ya Bring back @alikiba4real na @tundamanofficial. Am Proud of my Tazee artist. You all doing good in different ways. Keep it up. Tembea uone na usome ili ujue. BRING BACK OUR ARTISTS @alikiba4real @tundamanofficial”