nay wa mitego adai hajawahi kuchana kama alivyochana kwenye wimbo wake ujao.

No Comments
nay wa mitego kwa suti_full
Rapper nay wa Mitego anatarajia kuachia single mpya iitwayo ‘Mr Nay’ ambayo ame ielezea kuwa kali na hajawai kuchana kama alivyofanya kwenye wimbo huo
Naya amesema wimbo huo nisehemu ya mradi wa producer wake Mr. T Touch.
kuna project ya Mr. T Touch ambayo ndani ya wikihii nadhani itakuwa tayari itakuwa na ngoma yake ya kwanza inatoka ambayo mm ndio nimefanya. Ngoma inaitwa Mr Nay, lakini ngoma ni ya Mr T Touch mimi  nachana. Ni ngoma amabayo nimechana kuliko vile ambavyo nimewahi kuchana

Mr. T ni producer wangu sometime ni mtu amabaye tunataka kupanga nini kiende na nini kibaki kwahiyo, yeye mwenyewe alikuwa na wazo hilo la kufanya project, project hiinafikiria ina bidi iwa husishe wasanii kadhaa ambao mimi na waaminia alishawai kufanya nao kazi na ambao ajawai kufanyanao kazi . Hii ni project yake mimi nikama wasanii wanginewataimba
Nay amesema hio nisehemu yakulipa fadhila  kwa producer huyo ambaye  anasema ame mfanyia mambo makubwa sana
”Chakwanza kabisa hii projectmimi nimeanza kuonyesha mfano mzuri na support kubwa kwake, hii projecy ambaye nimefanyanae ni project kubwa sana . cha pili soon  wataona nitakacho mfanyia producer wangu, amenifanyia vitu vikubwa sana siwezi kumuacha hivi hivi kuna kitukikubwa sana ambacho kitakuja baada ya mwezi au miwili. Katika hii project Mr T ata nufaika kwenye kila kitu ambacho kita husiana nangoma kuanzia ringtone na vitu vingine vyote na ngoma ikisha kuwa kubwa tayari shows zina patikana kwa jili yahiyo ngoma tutagawana asilimia 50 kwa kila show ambayo ambayo tutakuwa tunafanya na vitu vingine, ingawa bado sijkaa na kujadiliana naye.”
back to top