(mwisho wa utamu wa ngono) kati ya
dakika ishirini na saa moja, yaani kwa
kifupi inawachukua muda mrefu sana hali
inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na
ufanyaji wake utakuwa wa "ovyo" hali
itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu
ya kuendelea.
Pamoja na kuchelewa huko ambako
kunatokana na utofauti wetu kati ya
mwanaume na mwanamke lakini
nakumbuka hapo nyuma nilikutana na
wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na
wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua
utamu wa tendo hilo alimaharufu kama
"kufanya mapenzi".
Natambua kuwa ni ngumu au niseme si
wanawake wote ambao wamejaaliwa
kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika
kileleni zaidi ya mara mbili kila
wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni
kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba
hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi
ya dk 45) na ikiwa jamaa ni "mzamiaji" basi
unaweza ukaondoka na goli 3 ktk
mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi
baadhi yao tu ndio wafike kileleni na
wengine wasijue hata utamu huo ukoje
(well ule wa kipele ni tofauti kabisa na ule
wa kisimi) lakini sio mbaya kama utapata
hata huo wa juu kwa juu ambao ni wa
kisimini.
Sehemu pekee ambayo itakufanya
wewemwanamke ufike kileleni kwa haraka
ni kwa kufanyiwa kazi kwenye kisimi
chako. Kuna wanaume ambao ni "wajanja"
na hawaoni tabu kutumia ndimi zao
kuwaridhisha wapenzi wao, wengine
hutumia vidole na wengi hutumia uume
wao.
