wema sepetu a-post video akiwa kitandani na diamond platnumz

No Comments

Diamond-Davido-Number-One-Remix-4

Wema Sepetu ameamua kuvunja ule ukimya ambao umekuwepo kuhusiana na mapenzi yake na diamond platnumz baada ya kuamua ku-upload clip ikimuonesha akiwa kitandani na diamond huku akiandika maneno haya “in da middle of his song writing session…. jus had to disturb him a little….”



Wema naye aliamua kujirekodi pia

back to top