diamond platnumz apaa na watu hawa kuelekea tuzo za mama afrika kusini….

No Comments
Diamond-Platnumz-uingereza-vibe-co-tz

Kampuni ya ndege ya fastjet imeamua kuunga mkono muziki wetu kwa kuamua kumsafirisha Diamond Platnumz, familia yake na team yake nzima kuelekea Afrika Kusini tayari kabisa kuhudhuria tuzo za MTV MAMA awards zitakazofanyika siku ya jumamosi jijini Durban , South Africa. Diamond alisema haya kuhusiana na ofa hiyo aliyopewa na fastjet ” Asante sana fastjet  kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. 

Na kama wadau mlivyotegemea basi bibie wema sepetu hakuachwa nyuma katika msafara huo tena naye alikua na shostizo wake mpya aunty ezekiel katika pipa hilo linaloelekea South Africa.
Diamond-Platnumz-Wema-Sepetu-Aunty-Ezekiel-Off-to-South-Africa-MAMA-Awards
Best of luck to Tanzanian finest kwenye MTV MAMA Awards….
back to top