ommy dimpoz-”nadhani muda wa kuoa umefika”.

No Comments

7cf829e4a60511e3a5b712a3de486cc5_8

Kupitia account yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Ommy Dimpoz aliyeko huko mjini London kwa sasa, akiwa anasimamia project zake mbalimbali ikiwemo uandaaji wa video yake mpya,ame-post picha akiwa na mwanadada mmoja hivi mzuri sana,akisema anadhani kuwa hivi sasa muda wa kuoa umefika, huku akiuliza fans wake kama anajua kuchagua au la?,kwa kutupia picha akiwa na mwanamke huyo katika pozi tofauti…
Capture


back to top