11. Unasahau kwamba haupo kwenye miaka ya 20 tena
Baada ya kumaliza chuo miaka inaanza kuchanganya na kujua umri wako
kunakua hakuna umuhimu tena sababu ya kazi nyingi na maisha kuwa the
same so inafikia kipindi unaweza kuwa na miaka 22 kiakili hata kiuchumi
lakini kiuhalisia unakua ushafika miaka ya 30.

10. Watu wanaanza kufikiria kuna kitu hakipo sawa kama bado upo SINGLE
Sababu una miaka 30 na zaidi haimaanishi inabidi uwe umeoa au kuolewa. Hiki ni kitu ambacho utapata wakati mgumu kukielezea kwa wazazi wako.

09. Jina lako la katikati linakuwa “Busy” sababu ndio hivyo utakua muda wote
Kama unafamilia basi ndio inakua zaidi na kama hauna kazi pekee inaweza kukufanya uwe busy balaa.

08. Account yako ya facebook itaanza kujaa picha za watoto
haijalishi ni watoto wako au ni wa rafiki zako wanaoamua kukutag picha za watoto wao.duh! noma sana

07. kuinvest kwenye quality itakua muhimu
utatumia pesa zaidi katika kupata nguo nzuri zaidi hat gari nzuri zaidi pia.

06. Mgongo utaanza kukuuma bila sababu

04. Utakua na marafiki walioachika

03. Muziki utakaocheza ni katika harusi na sherehe za ofisi

02. Hautataka kurudi katika miaka ya 20 tena
labda kama ni kurudi na kutumia pesa zako kwa makini kuwekeza katika miaka ya 30 lakini zaidi ya hapo hautatamani kurudi tena miaka ya 20.

01. Hautangoja kufika miaka ya 40
kwasababu katika miaka ya 40 utakua umeshafanikisha mipango yako yote.