(video)angalia sekunde 15 za video mpya ya vanesa mdee”come over”

No Comments

image3


Hii ndiyo video iliyokuwa inasubiriwa na maelfu ya mashabiki, Come over ni track kali iliyofanya vizuri kama Audio, huku video yake ndio kwanza imezinduliwa jana jumamosi, pata kuangalia sekunde chache tu za video hiyo jinsi ilivyokuwa kali, video hii imeweza kutabiriwa na wadau wengi wa muziki kufanya vizuri zaidi hapa nchini Tzee na kimataifa.

back to top