hiki ndicho kitakachojiri ndani ya ulimwengu wa muziki tanzania.

No Comments

collagkjdse

Wiki hii imekuwa imebarikiwa kwa mawe mapya kudondoshwa na wakali wa muziki hapa Tz, akiwa ametanguliza nyimbo ya Diamond Platnumz inayoitwa mdogo mdogo, wasanii wengine wakali wanatarajiw akuachia video zao mbili ambazo fununu zishaanza kusikika kuwa ni kutakuwa hapatoshi na audio moja kali kutoka kwa kundi la Navy Kenzo inayotarajia kuingia kwenye media siku ya jumatatu, Haya ndio yanayotarajiwa kutikisa media za hapa Bongo:
Vanesa Mdee(video)
BqGXxc-CEAEEUH0
Jux Vuitton(Video)
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu finally Jux anatarajia kuachia video yake moya inayotarajiwa ku-make headlines, kwenye video hii rumors had it Jacck Clif ataonekana, lets sit back and wait to see kama ni kweli.
BqAm6ZwCYAARLdJ
Navy Kenzo(Audio).
BqFLJBuIUAA8aPd


back to top