(video)lady jaydee sasa ku-make headlines dunia nzima, coca-cola’s 2014 fifa world cup™ anthem.

No Comments

blogger-image--1053628701

Lady  jaydee ameonekana akifanya yake katika moja ya nyimbo kali za kombe la dunia, nyimbo hizo hurushwa hewani katika mataifa mbalimbali wakati wa kutangaza kinywaji cha coca-cola huku ikielezea ujumbe maalum wa amani kwa wakati wa kombe la dunia, Lady jaydee amezidi kutisha na kuendelea ku-make headlines kote duniani kutokana na kile kwamba hii ni nyimbo inayowakilisha Tanzania, na itakayorushwa kote duniani wakati wa michuano hiyo.

The World is Ours (Tanzania version): Coca-Cola’s 2014 FIFA World Cup™ Anthem






back to top