Kanye west na Kim Kardashian kuvunja rekodi ya Beyonce.

No Comments

Image: BESTPIX: Givenchy  : Front Row - Paris Fashion Week Womenswear  Spring/Summer 2014
Baada ya Rihanna na beyonce kutamba katika kurasa za mbele za majarida maarufu duniani, na kuleta gumzo sana huko marekani katika kupanda kwa mauzo, hii sasa ni kali zaidi, Jarida la Vogue la nchini marekani ambalo liko mbioni kutoka hivi karibuni, limetabiriwa kuwa na mauzo ya kupita matoleo yake yote yaliyowahi kupita kisa tu kupambwa na Kanye West na Kim Kardashiani kwenye kurasa za mbele.
kimkanye290414
Kuwepo kwa wanandoa hao watarajiwa (Kanye na Kim Kardashian) katika kurasa za mbele, wakiwa wamevalia nguo zao za harusi, linatarajia kuwa na mauzo yakuzidi majarida yaliyopita yakiwa yamepambwa na Beyonce na hata la Mishelle Obama. Jarida lilopita la Vogue alilotokea Beyoncé liliuza nakala 355,390 na mke wa raisi wa marekani , Michelle Obama liliuza nakala 293,798 na hivi sasa jarida hili liloko mbioni kuja limekadiriwa kuuza nakala zaidi ya 500,000.
back to top