
Baby alisema wasanii wanapaswa kuiga mifano ya wasanii wa nje, wanaotumia bifu kuongeza mkwanja na umaarufu pia.
“Hapa wanaendekeza majungu, wenzetu wakikosoana kimuziki, wanatengeneza kiki ya kibiashara na baadaye wanaitumia kuingiza chapaa, hawachukiani kutoka moyoni ila wanakosoana kiukweli,” alisema Baby.