TASWIRA ZA BASI LA YANGA LILILOINGIA MTARONI LEO Unknown No Comments Tweet Pichani juu ni taswira za basi la timu ya Yanga SC lililoingia mtaroni eneo la Mikese mkoani Morogoro wakati timu hiyo ikielekea jijini Dar es Salaam baada ya mechi yao ya jana dhidi ya Mtibwa Sugar.