DEWJI AAPISHWA RASMI MBELE YA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

No Comments
IMG_9709 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji (wa pili kulia) akiteta jambo na baadhi ya wajumbe wenzake wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo wakati wa sherehe fupi za kuapishwa kwa wajumbe hao.
IMG_9729
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji akielekea kula kiapo cha kulitumikia Taifa Bunge la Katiba.
IMG_9731
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Mohammed Dewji akila kiapo mbele ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta mjini Dodoma.
IMG_9739
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Mohammed Dewji, akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta mjini Dodoma.
IMG_9741
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta, akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Mohammed Dewji.
back to top