RECHO: NIMEACHA UTOTO....NI kweli asemayo!!!

No Comments
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma.

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’.
Pasipo kuainisha matukio ya utoto aliyoyafanya, Recho alisema:
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi kazi ambazo naamini zitaniwekea heshima.”
back to top