Hehehehe mimi sina chakuongeza hapo.....Ila kaka yetu (MKUDE SIMBA)
kama hakuwa COMFORTABLE hivi.....Hawa madada wa mjina NOUMA SANA.
..siunakumbuka ile ya DIVA [KAMA ULI-MISS SOMA HAPA]sasa ni ya PENNY
( yeah yuleyule aliekuwa wa Diamond P)
Ila tuache utani huu Mkisi una ma hisia hadi macho kufumbaaa...
..Hii nawaachia mmalize wenyewe!!!
KISHA KAANDIKA
<<<<<<<<<<<<<<<