Muonekano Mpya wa Mwigizaji Lulu Michael Baada ya Kuachana na Mawigi Unknown No Comments Tweet Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya 80 )...yaaani ana TV personality toka LONG , kwa hapa Bongo ni staa wetu tumependwa na wengi (pamoja na mimi toka kitambo)