wajue wanawake 20 warembo zaidi africa akiwemo mtanzania mmoja

1 comment

Jarida la Glitz Africa Limetoa Fashionista Issue yao ya kufungia mwaka na katika ishu hiyo kuna list ya wanawake warembo barani Africa. Katika List hii kuna ma-super models , wasanii na mshiriki wa shindano la big brother.list nzima hii hapa chini.

Je , Unakubaliana na list hii ?
back to top