Jarida la Glitz Africa Limetoa Fashionista Issue yao ya kufungia mwaka na katika ishu hiyo kuna list ya wanawake warembo barani Africa. Katika List hii kuna ma-super models , wasanii na mshiriki wa shindano la big brother.list nzima hii hapa chini.
Je , Unakubaliana na list hii ?
1 comments:
sikubaliani nayo