(picha)tz@50:diamond,menina,djfetty, kajala watokelezea,weusi&prof.j watisha, shilole,mh.komba mh…

No Comments

collage

Kama hujui kusoma basi hata Lugha yapicha nadhani haitakushinda kuona jinsi Diamond,Meninah,DjFetty na Kajala kweli camera zinawapenda, uki-mix na jinsi walivyotupia, walikuwa moja ya wasanii waliopendeza kwakweli, hawakuwa wao tu wapo wengine wengi ambapo kila mmoja aliweza kutoka kivyake katika upande mzima wamavazi. Professa J na Weusi walitisha zaidi kwa jinsi wasanii walivyotokelezea ndani ya tshirt zake zilizoandikwa “Kipisijasikia”, weusi wao walitia fora kwa kutupia swag zao wenyewe zilizoandikwa nyeusi. Shilole hakumwacha bebi wake, walitokelezea pamoja pale kati, Ila hilo jicho la Mh Komba sijui lilikuwa linaelekea wapi…,ingawa mbali na jitihada zake za ubunge katika kutumikia wananchi, pia ni mwanamuziki mkongwe sana katika game. Endelea kujionea mwenyewe matukio haya katika picha.


source vibe.co.tz
back to top