jokate ampindua tena msanii mwenzake.

No Comments

JOKATE

Haikuweza kujulikana mara moja kisa ni nini haswa kilichofanya Mtangazaji na Msanii wa muziki wa Bongo fleva,Jokate kuchukua deal ambalo awali alikuwa ameshachukua Mtangazaji, Vanessa Mdee maarufu kama Vee money,ni deal la kutangaza katika moja ya show mpya ya kipindi cha kituo kipya cha TV1 iliyozinduliwa hii leo hapa Town,habari zinasema kuwa awali baada ya Vanesa kuchukua deal hilo na alikuwa ameshaanza kurekodi baadhi ya vipindi vya show hiyo mpya.
tumblr_mmgq5haRJZ1qd09eyo1_1280
Show kama hiyo inayorushwa kwenye kituo cha televishen cha Viasat cha huko nchini Ghana, ambacho zote pamoja na TV1 ipo chini ya kampuni moja ya MTG ya nchini Sweden.Version ya kipindi hicho kitakuwa kinarushwa hapa Tanzania kuanzia sasa, kitakachokuwa kinasimamiwa na mtangazaji Jokate Mwegelo, pamoja na mtangazaji wa zamani wa Kiss Fm na Times FM,Eden Jumanne maarufu kama The Rocker.
Source Bongo5.com
back to top