
Kama ilivyo kawaida yetu, kwenye swala zima la mavazi hatuko
nyuma kabisa, hasa kwa wale walioenda kutuwakilisha huko
kwenye tuzo za MTV MAMA, inasemekana wao ndio
wanakimbiza kwa kutupia pamba kali, na kung’aa zaidi humo
mjengoni, hizi ni baadhi tu ya wabongo waliohudhuria na jinsi
walivyotokelezea katika kumsindikiza King wetu wa afro pop
Afica nzima na kuhakikisha kuwa Diamond platnumz anarudi na tuzo hii leo.

Ommy Dimpoz, Nancy Sumari akiwa na mume wake Lucas mjengoni.

Diamond Platnumz na Wema Sepetu.

Agness Gerald “Masogange”