hii ndio list ya video kumi kali za bongo zinazopewa airtime chanel o.

No Comments

Ben-Pol-2


Ukitaka jua kuwa bongo kuna ma-director wakali wa video na wasanii wakali zaidi, ni jinsi kazi zao zinavyotambulika zaidi nje ya boundaries za hapa Tzee na kupata airtime zaidi kuweza ku-compete na nyimbo nyingine kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni,hizi ni baadhi tu ya video ambazo zinaleta  mapinduzi ya kweli katika muziki huu wa bongo fleva, nakuweza kufanikisha kupata fans wengi wakimataifa…na kama ulikuwa hujui hili, ni kwamba; ile video ya jux iliyofungiwa kutokana na madai kuwa ilikuwa inaenda kinyume na maadili,nayo ipo kwenye list,hiii yote ni kutokana na ubora wa video hiyo.

Diamond Feat Davido – Number One Remix

Diamond Platnumz – Number One

Jux – Uzuri Wako

NJE YA BOX – Joh Makini, Nikki wa II, Gnako

Ben Pol – JIKUBALI

MIRROR – BABY

Young Dee – KIJUKUU

MwanaFA & AY feat J Martins Bila Kukunja Goti

mama yeyoo – G.Nako Feat Ben Pol

MWANA FA FT KILIMANJARO BAND, MANDOJO & DOMOKAYA – KAMA ZAMANI

back to top