bet ndio ishaanza kunukia kwa diamond platnumz, sahau ya bondeni hii ni next level.

No Comments

929138_780988865256369_1262737922_n

Baada ya MTV MAMA awards iliyofanyika huko bondeni Afrika ya kusini na kuteka akili za watu hapa town, haswa baada ya mkali wa Afro Pop kupiga bonge la show ambalo lilimchanganya hadi Mr.President na kumfanya afunguke kukubali na show ile. Hii sasa ni moto wa kuotea mbali, huku wakati Diamond Platnumz akiwa bado ana-run hii DSM, hasa baada ya kuachia nyimbo yake ya Mdogo mdogo inayopigwa kila kona ya media hapa Bongo. Hivi sasa ni moja kwa moja hadi jiji la malaika aka Los Angels huko kwa Obama ambapo ndipo anatarajia kutia mguu katika maadnalizi ya awali ya tuzo hizo za BET., Kupitia ukurasa wake wa Instagram alifunguka na kudokezea tu, akisema “LOS ANGELES! need i say More?”, kweli hamna la ziada la kusema hapo lugha ya picha hii inasomeka vizuri sana.
10412927_289418064570210_1168525590_n

je, umezisoma hizi 

back to top