
Wakali sita wa muziki barani Afrika wameungana kwa pamoja kama sehemu ya kampeni ya kampuni ya MultiChoice Africa kufanya nyimbo na video itakayotolewa kwenye onyesho la glitz and glam content extravaganza nchini Mauritius. Wakali hao ni pamoja Davido kutoka Nigeria , Diamond Platnumz kutoka Tanzania , Sarkodie kutoka Ghana , Tiwa Savage kutoka Nigeria, Lola Rae ambaye ni mwanamuziki wa uingereza aliyechanganyika na asili ya Ghana na Nigeria. Wa mwisho ni kundi la Mi Casa kutoka Afrika Kusini linaloundwa na Dr. Duda (producer na mpiga piano) , Jsomething (vocalist and mpiga gitaa), and Mo-T (mpiga tarumbeta). Ebu icheki video yenyewe hapa..