




WATU sita wamepoteza maisha wakati 74 wakijeruhiwa baada ya gesi kuvuja na kusababisha mlipuko ulioporomosha majengo mawili katika eneo la Manhattan Jijini New York, Marekani hapo jana! Majeruhi wote 74 wanapata matibabu katika hospitali nne jijini humo.