mashamsham Kwenye penzi la Diva na GK...hapana chezea this loooooovely couple..shuka nayo.. Unknown No Comments Tweet Mapenzi yazidi kuchukua nafasi yake katika upande wa mwanadadiva Loveness Love “Diva” kwani ameshindwa kujizuia na kuzidi kuonyesha hisia zake kwa mpenzi wake aliyenaye kwa wakati huu King Crayz GK