SPECIAL
COURSE IN ARUSHA TOWN (0768-091190)
(THEMI
TRAINING COLLEGE)…………0768-091190
Kwanini ukose ajira??. SOMEA KOZI YA
AJIRA, SOMEA
KOZI YA KUFUNDISHA WAZUNGU KISWAHILI NA UTAMADUNI NA SOMEA KOZI YA UTAALAMU WA MADINI (MINERALS
STUDYING COURSE). PIA KOZI YA MADINI NI MUHIMU SANA KUTEGEMEANA
NA SOKO LA AJIRA.
Ø
Njoo
ufundishwe namna gani utamfundisha mgeni kozi fupi ya mwezi mmoja (short-course
or beginner course) na kozi ndefu (intensive course).
Ø Namna
gani utamfundisha Mgeni ambaye hazungumzi kiingereza na wewe hujui Lugha
yake e.g.mchina,mjapani,mkorea,mjerumani,mwitaliano,mfaransa n.k.
Utamfundishaje Kiswahili??.
Ø Njoo
upate kozi yetu utajua kumfundisha na kujipatia kipato (daily income) WAZUNGU
/ WAGENI wengi wanahangaika kupata walimu maalumu wa ufundishaji utamaduni
na kiswahili.
Ø Njoo
ujifunze namna gani utamfundisha mgeni Utamaduni wa Tanzania
Kwanini usome kozi na ukose ajira au
kujiajiri mwenywe??. Pata kozi maalum na
HAINA
USHINDANI WA AJIRA Tanzania. KOZI YA MADINI AU YA KISWAHILI.
(SWAHILI & CULTURAL TRAINING
COURSE) AND MINERALS STUDYING COURSE. (
E-MAIL: infothemitrainingcollege@gmail.com )
Karibu ujiunge na kozi fupi ya kufundisha
Kiswahili na Utamaduni kwa wageni kutoka nchi mbalimbali
wanaokuja kuishi Tanzania,Kenya,na Uganda,Kongo,Rwanda n.k. Nchi zinazozungumza Kiswahili unaweza kufanya
kazi.
NJOO UPATE KOZI MAALUM YA UFUNDISHAJI WA KISWAHILI
NA UTAMADUNI ILI UPATE AJIRA NDANI NA
NJE YA TZ.
CHUO KINATOA KOZI ZIFUATAZO:
Ø KOZI
YA UTAALAMU WA MADINI.
Ø KOZI
YA KUFUNDISHA KISWAHILI NA UTAMADUNI WAZUNGU / WAGENI.
Ø KOZI
YA UTALII, KOZI YA HOTELI , KOZI YA UALIMU WA
CHEKECHEA
Ø KOZI
YA COMPUTER
(sectarial course & Computer repairing and maintenance)
Pia
kama unatafuta FIELD au umekosa sehemu ya kwenda FIELD (PRACTICAL
LEARNING) PATA FIELD ZANZIBAR, BAGAMOYO,DAR, ARUSHA,MANYARA,TANGA
KARIBU
THEMI AU TUPIGIE
SIMU: 0768-091190 E-MAIL: infothemitrainingcollege@gmail.com
2 comments
Great step,keep it up
BR
Eginga
thanks for apreciation, we together