IRENE PAUL: TUMEBUMA KIMATAIFA

No Comments

MAJANGA! Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa licha ya wasanii wa filamu kujitutumua lakini wameshindwa kuvuka mipaka ya Kimataifa.
Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Irene Paul
Akieleza masikitiko yake, Irene alimtaja Lupita:“Inaniuma sana kumuona Lupita Nyongo amevuka mipaka ya Kenya kikazi, sisi tunashindwaje?” alisema Irene.
back to top