Msanii mr, blue babylone yupo mbioni kufanya track kali na mwanadada diva wa clouds fm, udaku huu tume upata toka katika official page ya diva mweneyewe amefunguka na kudai kuwa " after killin una nini wewe...thinking of another collabo w. mr. blue...siunajua blue hua hakusei so kaa mkao wa kula