
Ni kati wimbo mpya wa Barnaba aka Barnaba Classic, umeanza kushika kasi kwenye radio mbalimbali hapa Tanzania kutokana na mashairi ya wimbo kuwa na mahitaji kwa jamii. Barnaba Classic kwa sasa anakamilisha sehemu ndogo ndogo ya video yake ili aweze kuachia kichupa chake, na video imetengenezwa na kampuni RedlineProductions.
Stay tuned kichupa kinakuja…









- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2014/03/photoz-barnaba-akiwa-location-kuandaa.html#sthash.Qw5QTxcf.dpuf