Loveness Malinzi 'Diva' wa Clouds FM amevunja ukimya na kuweka wazi juu ya mahusiano yake na Msanii aliyekuwa anaunda kundi la East Coast
Gwamaka Kaihura ' King Crazy GK' baada ya hapo jana kutupia picha katika akaunti yake ya instagram na kufunguka yafuatayo.."have a Beautiful sunday... i gotta man to take care of... Ofcoz my GK.. love y'all .. and kasema kawa miss sana but he is busy with His Masters at Mzumbe Uni .. so love from US..