
Hii ni NOUMA sana... mwanadada Serena Williams kupitia
ukurasa wake wa INSTAGRAM
ameshare nasi picha ambazo yeye mwenyewe kaziandika
kama " Bikini wedding crasher!"
na nyingine akaiandika kama
"Wedding crasher!! Congrats" akionekana amevalia kingua
cha kuogea ....Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita
, Meam Beach. ambapo Serena
alikuwa aki balizi maeneo ya BICHI ..then Maharusi
walikuwa wakipiga picha ...
walivyo muona wakamuita na kupiganaye picha...
Kwa mujibu wa vyombo vya UDAKU inasemakana
Serana na maharusi hao walifurahia tukio hilo...



