DIAMOND,BEN POL,MRISHO MPOTO,JAYDEE,SHEEDY CLEVER WATAJWA KUWANIA TUZO ZA AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS 2014. -

No Comments


Nadhani sasa hivi muziki wetu unatambulika Africa nzima hivyo watanzania tuendelee kuwasupport wasanii wetu kwa hali na mali ilikuleta Tuzo hizi na nyinginezo hapa nyumbani ili kuweka heshima... .Diamond Platznum ametajwa kuwania katika vipengele vingi hivyo basi tuwasupport watanzania wenzetu uwe unampenda au haumpendi kwa sasa tuweke Utanzania Mbele na Mambo mengine baadae,Ili kuwapigia kura wasanii wetu bonyeza link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/ 
back to top