WASANII VANITA, MTENDA WAKIKACHA CHAMA CHA ‘UBACHELA’

No Comments
Msanii Lulu na Richie wakijimwaga na Maharusi.
Cloud, Batuli, Richie, Mtitu na Steve Nyerere wakipita kuwapa mkono wa pongezi maharusi.
Wasanii wa Bongo Movie wakimtunza bibi harusi.
Maharusi wakiwa katika pozi.
Wasanii Rado na Batuli wakionyesha umahiri wao wa kucheza muziki.
HATIMAYE wasanii Vanita Omari na Paulynus Mtenda wameuaga ubachela  kwa kufunga ndoa ambazo zilipambwa na wasanii wenzao kutoka klabu ya Bongo Movie, wakiwemo Steve Mengere  ‘Nyerere’, Elizabeth Michael ‘Lulu’,  Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walijumuika katika ukumbi wa Mwika uliopo Sinza jjini Dar.
back to top