Utajiri wa Irene Uwoya waanza kuwa gumzo,
Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii
nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa
kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya
alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya
na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona
mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari
anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata
utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa
hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals
zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so
lazima liendane na Mali ninazopata..alisema uwoya