
Zipo sehemu nyingi sana zinazoweza kumfanya mwanamke ajisikie utamu
ambao hakuwahi kuuhisi kutoka kwenye kitendo chochote zaidi ya wakati
wa kufanya mapenzi, Raha hii hutegemea sana na utaalamu wa
Leo tutaangalia sikio ambalo liikishughulikiwa sawasawa huweza
kumfanya aongee hata maneno asiyoyajua kutokana na raha aipatayo
Mtu anaweza kuona kuwa hii ni sehemu ndogo sana ambayo haina
mchango wowote katika kumpa raha mpenzi wako,ukweli ni kwamba
hii si sehemu ya mchezo hata kidogo kwani mwanaume/mwanamke
hupata raha sana anaposhughulikiwa masikio yake, kwani masikio
ni kiungo chenye uwezo mkubwa sana wa kuleta/kuamsha hisia
zilizolala.
Namna ya kudili na kiungo hiki.
*Hakikisha masikio yako yako safi kila wakati na si muda wa kufanya
mapenzi pekee.Usafi huu hufanywa wakati wa kuoga na baada
ya hapo unaweza kutumia cotton buds (pamba za masikio)
ili mkuondoa uchafu uliopo sehemu ya ndani kabisa ya masikio.
*Wakati mmeanza kushikana na kuchezeana hapa na pale,anza
kwa kumnong’oneza mpenzi wako huku ukimwambia maneno
matamu,baada ya muda mfupi anza kumbusu masikioni kwa upole
na taratibu (mabusu yasiyo na sauti).
*Baada ya kumwagia mabusu yenye sauti ya chini anza kulamba
sehemu yake ya nje ya masikio huku mikono yako ikimpapasa
mgongoni na sehemu nyingine kwa mahaba. Waweza kumtekenya
kidogo huku ukimpa maneno ya kuliwaza.
*Anza kuuchomoa ulimi wako na kuungiza katika kona mbali mbali
za sikio la mpenzi wako huku ukishusha pumzi taratiibu.
Waweza pia kufyonza kimtindo kijishimo cha sikio na ukifanya
hivi utamwona tu mpenzi wako anaruka kwa msisimko wa ajabu.
Usimfyonze kwa nguvu kishimo cha sikio kwani unaweza
kumsababishia maumivu.
*Ukiendelea na shughuli hii nyeti mnaweza kujikuta
mnapiz kabla hata hamjafanya mapenzi,Kama hautaki kupoteza
sana muda na sehemu hii ya sikio waweza hamia sehemu zingine
kama shingo,chuchu nk.
