MSANII wa filamu Rachel Haule 'Recho' aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya Songea kama ilivyopangwa hapo awali.
Ratiba ya kuuaga mwili wa marehemu inabaki pale pale siku ya kesho Leaders Club na baadae kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinonondoni.