NGUO ZINAZOFAA KUVALIWA CHUMBANI,UKIWA NA MPENZI WAKO
mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo..
.Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni kumvalia nguo nyepesi
na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii inaweza kuwa gauni
nyepesi inayoonyesha maumbile yako ama siku hizi kuna mitandio
milaini ambayo pia unaweza kuivaa pindi unapokuwa na mwenzi wako
,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu
za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo hilo lakini wanawake ni dawa
nzuri ya tatizo hilo ikiwa ataweza kumuhamasisha mumewe kwa njia mbalimbali
ikiwemo ya vazi ambalo litamfanya mzee asisimke.. Mapenzi ni hisia,na hisia hizo
huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio
kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa
ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao tendo la ndoa.Hapa nitazungumzia
mavazi yanayopaswa kuvaliwa chumbani hasa mnapokuwa wawili tu yaani
mke na mume..
Mwanaume siku zote huwa na hisia za haraka sana hasa ukimjulia,lakini
baadhi ya wanawake huwa wanashindwa kuzijua haraka mbinu za
kumpandisha mzuka mumewe hata kama amechoka au ana hasira
kwa siku hiyo...Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni kumvalia
nguo nyepesi na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii inaweza
kuwa gauni nyepesi.
kuna mitandio milaini ambayo pia unaweza kuivaa pindi unapokuwa
na mwenzi wako,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo hilo
lakini wanawake ni dawa nzuri ya tatizo hilo ikiwa ataweza kumuhamasisha
mumewe kwa njia mbalimbali ikiwemo ya vazi ambalo litamfanya mzee asisimke