MUONEKANO WA KIM, KANYE WEST SIKU YA NDOA YAO Unknown No Comments Tweet Kim Kardashian na Kanye West wapigana busu baada ya kufunga ndoa Jumamosi iliyopita, Forte di Belvedere Florence, Italia. ...Mke na mume ambao ni Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa. Kim akiwa ndani ya gauni lake la harusi siku ya ndoa yake huko Forte di Belvedere Florence, Italia.