MAMIA WAMUAGA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS Unknown No Comments Tweet Jeneza lenye mwili wa marehemu Adam Kuambiana likiwa mbele ya waombolezaji. Shilole (kulia) akiwa na baadhi ya waombolezaji. Wema Sepetu na Aunt Ezekiel walijumuika na waombolezaji. Simanzi ilitawala wakati wa tukio hilo.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara naye alikuwepo kumuaga Adam. Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria shughuli ya kuaga mwili wa Kuambiana Leaders Club.