Abisola akiwana Khloe Kardashian's bestie, Malika, Kim Kardashian's bestie, Lala Anthony siku moja kabla ya har si |
Huyu ni mtoto wa Kike wa Gavana wa Jimbo la OYO nchini Nigeria, nee Abiola-Ajimobi aliudhuria harusi ya Kanye na Kim iliyofanyika juzi jijini Paris Ufaransa