JINSI YA KUSHIKA MIMBA KWA HARAKA

No Comments


1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku 
tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days. 

2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa
 ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke
 ameengua yai na ndio kipindi ambacho 
mwanamke ana uwezo wa kushika mimba 
akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia. 

3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua yai 
(kabla ya ovulation), huongeza uwezekano wa
 kushika mimba kuliko kusubiria ovulation 
au kufanya baada ya ovulation.

Kutaneni siku mbili au tatu kabla ya ovulation.
 Ukitumia ovulation test kit, mkutane kuanzia 
siku itakapokuwa positive kwani huwa inapredict 
ovulation kutokea 48 hrs after it tests positive. 

4. Usitegemee njia ya kalenda kutabiri uenguaji
 yai, njia hii kwa kiasi fulani huweza kuwasaidia
 wale wenye mzunguko wa siku 28, lakini pia 
haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawake
 hawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko wa hedhi,
 kwa hiyo kutegemea kalenda kutakuchelewesha
 kupata ujauzito. 

5. unapotaka kushika mimba, acha au punguza 
kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au
 dawa za kulevya. 

6. unapotaka kupata mimba, tendo la ndoa liwe
 kitu 'enjoyable' na sio tendo 'mechanical' kwa ajili 
ya kutafuta mtoto. Plan a romantic evening 
or try something different to spice things up.

How you are feeling sexually may increase
 your chances of getting pregnancy. For women 
a better orgasm may help pull the sperms into the
 uterus and for men a better orgasm may increase
 their sperm count. 

7.Kufanya mapenzi katika mtindo (style) ambayo
 itafanya mbegu za kiume zikae kwa muda mrefu 
ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia kwenye
 kizazi na kwenda kurutubisha yai.

'missionary position' ni nzuri zaidi, ambapo mwanaume
 anakuwa juu, epuka positions za mwanamke kuwa juu 
kwani hufanya mbegu zimwagike kwa gravity. 
Jaribu pia kuweka mto chini ya kiuno ili kukiinua
 na kufanya mbegu ziingie ndani kwa urahisi zaidi. 

Kumbuka kuna asilimia 10 - 25 ya couples ambazo
 zina matatizo ya infertility lakini vipimo havionyeshi
 tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya mapenzi 
ndio ikawa shida, jaribu njia hizo 7 juu. 

Kama hizi njia hazijakusaidia basi utakuwa na 
matatizo na unaweza kumuona daktari kwa 
msaada wa vipimo na matibabu. Natumaini 
uzi huu unaweza kuwa msaada kwa watafutao 
watoto.
back to top