DIAMOND KWENYE COLLABO NYINGINE YA KIMATAIFA Unknown No Comments Tweet Hit maker wa ‘Number One’, Diamond Platinumz baada ya kuwarusha mashabiki wake nchini Marekani weekend iliyopita, amepost picha akiwa na masanii mkubwa wa kike wa Nigeria, Tiwa Sawage wakiwa nchini Ghana wiki hii.