Kiujumla kilichokuwa kina uzuri moyoni basi kina hamasa katika map#nzi,
hii hujumuisha hadi chakula,chakula Bora. Katika hali hiyo naomba nizungumzie
kwa uchache vyakula ambavyo tukila huongeza afya ya map#nzi na afya ya miili yetu
kwa ujumla.
1. Spinachi, Kabichi na Mboga Mboga!
Tena hivi kwa kwetu Tanzania vimejaa kibao tu na wala havina gharama sana
, sema tatizo letu tukishakuwa na uchumi mzuri kidogo hutaki tena kula
vyakula vya bei nafuu!

2. Chai isiyokuwa na sukari nyingi, na kupunguza vinywaji vyenye sukari nyingi mathalani soda.

 3.Kula
 sana matunda kama mlo mmoja badala ya
3.Kula
 sana matunda kama mlo mmoja badala yakula matunda kama kisindikizio baada ya kula
, mfano wa matunda ni machungwa, mapeasi,
ma apple, kwa watu wa mbeya "Mafyulisi" n.k.
4. Mayai ya kuku wa kienyeji ya kuchemsha
 
 5. Glass ya Red Wine na Nyama kwa mara chache
6.Korosho, Karanga,Mbegu za Alizeti na Maboga.
7.Maharage na Protein kwa wingi.
8.Minofu ya samaki, mathalani sato!
 
 9. Ngisi (hasa kwa wanawake) na pweza!
 
 10. Vipande vya chocolate nyeusi kwa uchache.

11. Strawberies
 
 
Huu ni kwa uchache kuhusu vyakula hivyo, nimeshindwa kuvitolea maelezo mengi maana kila jamii ina utaratibu wake wa kuviandaa(kwa vile vinavyopikwa) ila kwa uchache nawaomba mtosheke na hayo!




