BABY MADAHA AANZA KUREKODI VIDEO YAKE YA KUMPONDA MSANII MWENZAKE!

No Comments
Baby Madaha akijipodoa tayari kurekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda.
Meneja wa Baby Madaha, Joe Kariuki (kulia) akijadiliana jambo na muongozaji wa video hiyo.
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha jana alinaswa na kamera zetu akiwa 'location' akijipodoa bila kuogopa wala kujali watu waliokuwa eneo hilo.
Madaha alinaswa maeneo ya Sinza jijini Dar alipokuwa akirekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda aliomuimba msanii mwenzake aliyewahi kuwa na bifu naye.
back to top