ALIYEVUJISHA VIDEO YA JAY Z AKIPIGWA NA SHEMEJI YAKE ATIMULIWA KAZI, ALILAMBA MIL 412 KUTOKA TMZ

No Comments
JAMAA aliyevujisha video ikionyesha staa Jay Z akipigwa na shemeji yake Solange ametimuliwa kazi.
Hoteli ya New York Standard  imeamua kusitisha mkataba wa jamaa huyo mara moja baada ya kuvunja sheria za usalama za hoteli hiyo kwa kuvujisha tukio nyeti kama hilo.
Jamaa huyo anadaiwa kuwauzia TMZ kipande hicho cha video kwa dola 250,000 sawa na shilingi 412,500,000 za Tanzania.
Solange ambaye ni dada wa Beyonce anayedaiwa kumvamia shemeji yake, Jay-Z.


KUONA JAY Z ALIVYOCHAPWA NA SOLANGE, GONGA HAPA:
back to top