MAJANGA! Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa licha ya wasanii wa filamu kujitutumua lakini wameshindwa kuvuka mipaka ya Kimataifa.
Akieleza masikitiko yake, Irene alimtaja Lupita:“Inaniuma sana kumuona Lupita Nyongo amevuka mipaka ya Kenya kikazi, sisi tunashindwaje?” alisema Irene.